18.4 C
Nairobi
Saturday, May 8, 2021
Kenya
162,666
Total confirmed cases
Updated on May 8, 2021 10:17 am

GAVANA WA ZAMANI WA NAIROBI MIKE SONKO AACHILIWA KWA DHAMANA

Hatimaye aliyekuwa gavana wa Nairobi Mike Sonko ameachiliwa kwa dhamana baada ya kuzuiliwa rumande kwa muda wa takribani mwezi mmoja. Kwa mujibu wa TUKONEWS, Sonko...
More

  Latest Posts

  AJALI MBAYA YA BARABARANI YAUWA MMOJA KUTOKA ENEO LA KURIA,KAUNTI YA MIGORI

  Mhudumu mmoja wa bodaboda mwenye umri wa makamo amefariki dunia katika ajali ya barabara ambayo imetokea kwenye kijiji cha Imaram kaunti ya Narok karibu na mpaka wa Migori.

  Katika ajali hiyo ambayo imehusisha tingatinga la kubeba miwa,pikipiki na gari la kibinafsi,mhudumu huyo wa bodaboda amefariki papo hapo huku wakiponea kifo watoto wake wawili wenye miaka kati ya 15 na 8 ambao alikuwa amewabeba kwenye pikipiki.

  Kulingana na walioshuhudia ajali hiyo mhudumu huyo ndio tu alikuwa amevuka mpaka kutokka eneo la Kuria lililoko kaunti ya Migori kuingia Transmara kaunti ya Narok wakati ajali imetokea.Watoto hao wawili wamejurihiwa na kupelekwa hospitalini huku mwili wa baba yao ukipelekwa kwenye hifadhi ya maiti.

  Latest Posts

  Don't Miss

  Stay in touch

  To be updated with all the latest news, offers and special announcements.

  %d bloggers like this: