14.6 C
Nairobi
Thursday, August 5, 2021
Kenya
206,691
Total confirmed cases
Updated on August 5, 2021 8:34 am

SARAH OBAMA, BIBI YA RAIS WA ZAMANI BARACK OBAMA AFARIKI DUNIA

Sarah Obama, bibi ya Rais wa zamani wa Marekani Barack Obama, amefariki dunia katika Hospitali ya Jaramogi Oginga Odinga mjini Kisumu akiwa na miaka...
More

  Latest Posts

  ALIYEKUWA MD WA KPC CHARLES KIPROTICH NA WENZAKE WATATU WAACHILIWA HURU KWA DHAMANA YA KSH LAKI 7

  Aliyekuwa Mkurugenzi mkuu wa kampuni ya Kenya Pipeline nchini Kenya,Charles Kiprotich Tanui na mameneja wengine wawili wameachiliwa kwa dhamana ya shilingi laki 7.Hii ni baada ya watatu hao kukana mashtaka ya kuhusika katika matumizi mabaya ya afisi na ubadilifu wa fedha za kampuni hiyo.

  Tanui,Elias Maina Karumi aliyekuwa meneja wa maasuala ya kiufundi na Josephat Kipkoech Sirma aliyekuwa muhandisi wamefika mbele ya hakimu Douglas Ogoti ,kujibu mashtaka ya ulipaji wa takriban shilling milioni 32 kwa kampuni ya Redline katika ununuzi wa mashine 3 za transformer mwaka wa 2014 februari kwa kutumia hati bandia

  Latest Posts

  Don't Miss

  Stay in touch

  To be updated with all the latest news, offers and special announcements.

  %d bloggers like this: