Msanii Maarufu wa Bongo Movies, Elizabeth Michael kwa jina maarufu ‘Lulu’ amefunga ndoa na mchumba wake ambaye ni Mkurugenzi Mtendaji wa vituo vya habari, EFM na TVE, Francis Antony Ciza maarufu Majizzo ambaye ni mzazi mwenzie
Mwanamitindo Hamisa Mobetto, Februari 16, 2021.
Ndoa hiyo ambayo ilifungiwa katika Kanisa Katoliki la Mt. Gasper, Mbezi Beach jijini Dar es Salaam ilihudhuriwa na watu wachache zikiwemo familia zao.
Ikumbukwe kwamba wawili hao wamekuwa kwenye uchumba kutoka 2019 hivyo kuwafanya mashabiki wao kungojea ndoa au harusi yao kwa muda mrefu.
VuvuSasa tunawatakia maisha ya ndoa mema.