16.1 C
Nairobi
Sunday, September 26, 2021
Kenya
248,392
Total confirmed cases
Updated on September 26, 2021 8:39 am

SARAH OBAMA, BIBI YA RAIS WA ZAMANI BARACK OBAMA AFARIKI DUNIA

Sarah Obama, bibi ya Rais wa zamani wa Marekani Barack Obama, amefariki dunia katika Hospitali ya Jaramogi Oginga Odinga mjini Kisumu akiwa na miaka...
More

  Latest Posts

  AMUUA KAKA YAKE BAADA YA KUTOFAUTIANA KUHUSU SHILINGI 200

  Makachero wa Upelelezi katika Kaunti ya Kiambu nchini Kenya wameanzisha msako wa msichana mmoja mwenye umri wa miaka 15 aliyetoweka baada ya kumuua ndugu yake kwa jina Antony Ng’ang’a mwenye umri wa miaka 18.

  Tukio hilo lilitokeakatika kijiji cha Kibichoi, baada ugomvi kati yao kutokea.Chanzo kikiwa shilingi 200 ambazo mama yao aliwaachia kwa ajili ya kununua chakula. Kama ilivyonukuliwa na Kituo cha runinga cha TV47, Idara ya Upelelezi wa Makosa ya Jinai(DCI) imesema wawili hao walitofautiana kuhusu namna watagawana pesa hizo huku msichana akitaka kutumia pesa hizo kusuka nywele.

  Imeelezwa kwamba msichana huyo alimjeruhi Antony kwa kutumia kifaa cha jikoni na kumuacha akiwa amepoteza ufahamu.

  Hata hivyo, mwathirika alithibitishwa kufariki dunia alipofikishwa hospitali ya Kigumo Level Four.

  Latest Posts

  Don't Miss

  Stay in touch

  To be updated with all the latest news, offers and special announcements.

  %d bloggers like this: