17.8 C
Nairobi
Saturday, July 24, 2021
Kenya
196,745
Total confirmed cases
Updated on July 24, 2021 11:24 pm

SARAH OBAMA, BIBI YA RAIS WA ZAMANI BARACK OBAMA AFARIKI DUNIA

Sarah Obama, bibi ya Rais wa zamani wa Marekani Barack Obama, amefariki dunia katika Hospitali ya Jaramogi Oginga Odinga mjini Kisumu akiwa na miaka...
More

  Latest Posts

  ATWOLI MITANO TENA KUONGOZA COTU

  Katibu mkuu wa COTU Francis Atwoli amechaguliwa tena kuongoza muungano huo wa COTU.

  Atwoli alichaguliwa tena kwa muhula wa tano leo Ijumaa April 9, 2021 na sasa atahudumu kwa miaka mitano tena.

  Aidha Atwoli amedhibitisha hilo Kupitia kwa akaunti yake ya Twitter siku ya Ijumaa huku akiwapongeza wafanyikazi nchini kwa kuendelea kuwa na imani katika uongozi wake.

  Katibu huyo amekuwa akihudumu katika wadhifa huo kutoka mwaka 2001 alipochaguliwa.

  Hata hivyo Katibu mkuu wa muungano wa wauguzi nchini Seth Panyako alikuwa ameonyesha ari ya kutaka wadhifa huo.

  Latest Posts

  Don't Miss

  Stay in touch

  To be updated with all the latest news, offers and special announcements.

  %d bloggers like this: