22.8 C
Nairobi
Friday, October 15, 2021
Kenya
251,669
Total confirmed cases
Updated on October 14, 2021 9:34 pm

SARAH OBAMA, BIBI YA RAIS WA ZAMANI BARACK OBAMA AFARIKI DUNIA

Sarah Obama, bibi ya Rais wa zamani wa Marekani Barack Obama, amefariki dunia katika Hospitali ya Jaramogi Oginga Odinga mjini Kisumu akiwa na miaka...
More

  Latest Posts

  BERYL OWANO USIOGOPE

  Usiogope ndio jina la wimbo mpya wa Msanii wa kike Beryl Owano.
  Beryl Owano ni msanii wa Kenya ambaye ameonyesha uwezo wake mkubwa kwenye uimbaji na ameachia nyimbo kadhaa ambazo zote zinapatikana kwenye mitandao ukiwemo ule wa Youtube.

  Kipaji cha uimbaji wa msanii huyo kilianza kuonekana akiwa darasa la kwanza shuleni na kuamua kuingia kwenye muziki rasmi mwaka 2014 ambapo ameachia nyimbo kama vile Mafisi,Namtafuta,Nabaki,Slowly aliomshirikisha Matonya msanii kutoka Tanzania,Utafilisika,Fire Emoji,na sasa ameachia video ya wimbo wake kwa jina USIOGOPE.Wimbo Usiogope umeandikwa na Beryl Owano akishirikiana na K-Letta,ukatayarishwa na Saint P na Video imetayarishwa na Johnson Kyalo.
  Tazama video kikamilifu hapa chini, Share/sambaza na Mpe maoni yako.

  USIOGOPE BY BERYL OWANO

  Latest Posts

  Don't Miss

  Stay in touch

  To be updated with all the latest news, offers and special announcements.

  %d bloggers like this: