19.4 C
Nairobi
Friday, October 15, 2021
Kenya
251,669
Total confirmed cases
Updated on October 14, 2021 9:34 pm

SARAH OBAMA, BIBI YA RAIS WA ZAMANI BARACK OBAMA AFARIKI DUNIA

Sarah Obama, bibi ya Rais wa zamani wa Marekani Barack Obama, amefariki dunia katika Hospitali ya Jaramogi Oginga Odinga mjini Kisumu akiwa na miaka...
More

  Latest Posts

  BOBI WINE ASHINDA VITI 41 VYA UMEYA DHIDI YA 44

  Chama cha National Unity Platform (NUP) kinachoongozwa na Robert Kyagulanyi maarufu kama Bobi Wine, kimekishinda mbali Chama cha Rais Yoweri Museveni cha National Resistance Movement (NRM) katika uchaguzi wa Kampala Capital City Authority (KCCA) nchini Uganda.

  Chama cha NUP kilishinda viti 41 dhidi ya 44 vya umeya na hivyo kukiacha mbali chama tawala na hii ni kwa mujibu wa Gazeti la The Indepenfent. Viti vitatu vilivyosalia vilinyakuliwa na chama kinachohusiana na mgombeaji wa zamani wa urais Kizza Besigye, Forum for Democratic Change (FDC).

  Chama cha Wine pia kilishinda viti vyote vya ubunge kando na kiti cha Kampala ambacho kilitwaliwa na Mohamed Nsereko ambaye alikuwa mgombea huru.

  Hii ilikuwa mara ya kwanza katika historia kwa chama kinachoongozwa na Rais Museveni, NRM na Democratic Party (DP) kushindwa katika uchaguzi wa umeya Kampala.

  Latest Posts

  Don't Miss

  Stay in touch

  To be updated with all the latest news, offers and special announcements.

  %d bloggers like this: