19.4 C
Nairobi
Saturday, October 16, 2021
Kenya
251,669
Total confirmed cases
Updated on October 14, 2021 9:34 pm

SARAH OBAMA, BIBI YA RAIS WA ZAMANI BARACK OBAMA AFARIKI DUNIA

Sarah Obama, bibi ya Rais wa zamani wa Marekani Barack Obama, amefariki dunia katika Hospitali ya Jaramogi Oginga Odinga mjini Kisumu akiwa na miaka...
More
  Home Entertainment

  Entertainment

  KIZUNGUZUNGU CHA MSANII ADOTCHI

  Adotchi ni msanii kutokea katika kaunti ya Busia nchini Kenya anayetambulika kwa kuimba nyimbo za kizazi kipya. Pia anatambulika kuwa mtunzi mahiri wa nyimbo...

  NAOMI CAMPBELL ATANGAZA KUPATA MTOTO WA KWANZA AKIWA 50

  Mwanamitindo na mcheza filamu kutoka Uingereza ,Naomi Campbell,ametangaza kupata mtoto wake wa kwanza Jumanne Mei 18 akiwa na umri wa miaka 50. Mcheza filamu huyo ...

  MSANII DIAMOND PLATNUMZ NA WCB WASAINI MKATABA WA USHIRIKIANO NA KAMPUNI YA KIMATAIFA WARNER MUSIC

  Msanii maarufu na mfanyabiashara kutoka nchi ya Tanzania, Naseeb Abdul Juma maarufu Diamond Platnumz ambaye pia ni mkurugenzi wa lebo ya WCB-Wasafi amesaini mkataba...

  FILAMU KUTENGENEZWA KWENYE ANGA YA JUU -RUSSIA

  Mwigizaji Yulia Peresild, 36 na mwongozaji Klim Shipenko, 37 wamechaguliwa kushiriki kutengeneza filamu katika anga za juu. Shirika la safari za anga za juu la...

  UCHUNGUZI WA DNA WAONYESHA MWANAMITANDAO KABI WAJESUS NDIYE BABA WA KUMZAA MTOTO WA BINAMU YAKE

  Miezi mitatu iliyopita kulikuwa na taarifa mitandaoni kwamba Mwanamitandao Kabi Wa Jesus ana mtoto anayeitwa Abby ambaye alizaa na binamu yake kwa jina Shiko....

  MAPYA YAIBUKA KUHUSU KIFO CHA DJ MIKEY KAY

  Habari za kifo cha Dj Mikey Kay zilisambaa katika mitandao ya kijamii siku ya Jumamosi Mei Mosi,2021.Hii ni baada ya VDJ Jones...

  ALIYEKUWA MPENZI WA MAREHEMU STEVE KANUMBA, LULU, AOLEWA NA BABA MTOTO WA HAMISA MOBETTO, MAJIZZO.

  Msanii Maarufu wa Bongo Movies, Elizabeth Michael kwa jina maarufu ‘Lulu’ amefunga ndoa na mchumba wake ambaye ni Mkurugenzi Mtendaji wa vituo vya...

  Must Read