18.4 C
Nairobi
Saturday, May 8, 2021
Kenya
162,666
Total confirmed cases
Updated on May 8, 2021 10:17 am

GAVANA WA ZAMANI WA NAIROBI MIKE SONKO AACHILIWA KWA DHAMANA

Hatimaye aliyekuwa gavana wa Nairobi Mike Sonko ameachiliwa kwa dhamana baada ya kuzuiliwa rumande kwa muda wa takribani mwezi mmoja. Kwa mujibu wa TUKONEWS, Sonko...
More
  Home Togambe Post

  Togambe Post

  UCHUNGUZI WA DNA WAONYESHA MWANAMITANDAO KABI WAJESUS NDIYE BABA WA KUMZAA MTOTO WA BINAMU YAKE

  Miezi mitatu iliyopita kulikuwa na taarifa mitandaoni kwamba Mwanamitandao Kabi Wa Jesus ana mtoto anayeitwa Abby ambaye alizaa na binamu yake kwa jina Shiko....

  MAPYA YAIBUKA KUHUSU KIFO CHA DJ MIKEY KAY

  Habari za kifo cha Dj Mikey Kay zilisambaa katika mitandao ya kijamii siku ya Jumamosi Mei Mosi,2021.Hii ni baada ya VDJ Jones...

  RAIS WA TANZANIA,SAMIA SULUHU KUFANYA ZIARA YA SIKU MBILI NCHINI KENYA

  Rais wa Tanzania,Samia Suluhu Hassan kufanya ziara ya kikazi ya siku mbili nchini Kenya. Msemaji wa Ikulu, Kanze Dena amesema Rais Suluhu atapokelewa...

  HIZI NDIZO ZAWADI RAIS UHURU KENYATTA AMEZITOA KWA WAKENYA LEO LEBA DEI

  Rais Uhuru Kenyatta katika hotuba yake ya kusherehekea leba Dei leo Mosi Mei, 2021 amepunguza masaa ya kafyu ya kutokuwa nje kuanzia saa mbili...

  BBI KUJADILIWA TENA NA WABUNGE JUMATANO NA ALHAMISI

  Wabunge wa bunge la Kenya wanatarajiwa kuwa na mkutano Jumatano 28 Aprili na Alhamisi 29 April mwaka mswada mkuu ukiwa ni mswada wa marekebisho...

  MWANAFUNZI AUAWA AKITUHUMIWA KUIBA SHILINGI ELFU 15 ZA TANZANIA

  Mwanafunzi wa darasa la saba katika shule ya Msingi Kalangalala iliyopo mjini Geita nchini Tanzania ameuawa kwa kupigwa mateke na ngumi akituhumiwa kuiba Shilingi...

  MWANAMFALME PHILIP, MUME WA MALKIA WA UINGEREZA AMEFARIKI DUNIA

  Mwanamfalme Philip, mume wa Malkia Elizabeth II, amefariki dunia Ijumaa asubuhi April 9, 2021. Kwa mujibu wa ujumbe kutoka kwa familia ulioandikwa kwenye mtandao...

  ATWOLI MITANO TENA KUONGOZA COTU

  Katibu mkuu wa COTU Francis Atwoli amechaguliwa tena kuongoza muungano huo wa COTU. Atwoli alichaguliwa tena kwa muhula wa tano leo Ijumaa April 9,...

  Must Read