18.4 C
Nairobi
Saturday, May 8, 2021
Kenya
162,666
Total confirmed cases
Updated on May 8, 2021 10:17 am

GAVANA WA ZAMANI WA NAIROBI MIKE SONKO AACHILIWA KWA DHAMANA

Hatimaye aliyekuwa gavana wa Nairobi Mike Sonko ameachiliwa kwa dhamana baada ya kuzuiliwa rumande kwa muda wa takribani mwezi mmoja. Kwa mujibu wa TUKONEWS, Sonko...
More

  Latest Posts

  DONALD TRUMP RAIS WA MAREKANI KUPIGA MARUFUKU UPAKUAJI WA MITANDAO YA WeChat na TIK TOK

  Rais wa Marekani Donald Trump ametangaza kuwa kuanzia Jumapili, Septemba 20 (Kesho) atapiga marufuku upakuaji wa mitandao ya TikTok na WeChat. Kulingana na utawala wa Trump kampuni hizo mbili ni tishio kubwa kwa usalama wa taifa hilo na huenda zikafichua maelezo ya faragha ya watumiajia wake kwa nchi ya Uchina.

  Hata hivyo, Uchina imepinga madai ya kuwa na njama ya kutaka maelezo kuhusu watumiaji wa mitandao hiyo kufichuliwa.
  Kwa mujibu wa taarifa za BBC Wechat itafungwa rasmi nchini Marekani Jumapili, Septemba 20 huku Tiktok ikipatiwa hadi tarehe 12 Novemba mwaka huu wa 2020.

  Kwa uchunguzi wa kina unaonyesha kwamba kampuni ya TikTok haina usiri wa data ya watumiaji, inakusanya nambari za simu, maeneo wanaoishi na kuchukua taarifa za faragha.

  Latest Posts

  Don't Miss

  Stay in touch

  To be updated with all the latest news, offers and special announcements.

  %d bloggers like this: