14.6 C
Nairobi
Thursday, August 5, 2021
Kenya
206,691
Total confirmed cases
Updated on August 5, 2021 6:33 am

SARAH OBAMA, BIBI YA RAIS WA ZAMANI BARACK OBAMA AFARIKI DUNIA

Sarah Obama, bibi ya Rais wa zamani wa Marekani Barack Obama, amefariki dunia katika Hospitali ya Jaramogi Oginga Odinga mjini Kisumu akiwa na miaka...
More

  Latest Posts

  FAHAMU MENGI KUHUSU WIMBO CHECHE WIMBO WA ZUCHU NA DIAMOND PLATINUMZ

  Cheche ni wimbo ambao video yake imetoka hivi leo na views pale youtube zinaongezeka kwa kasi sana.Ndani ya masaa kumi na nne tangu video hiyo kupachikwa pale youtube umefikisha views 550,608. Video yenyewe imetayarishwa Tanzania na Director kutoka Tanzania Kenny.Kutokana na ubunifu mkubwa wa audio pia audio hiyo pale youtube imefikisha views 619,040 ndani ya siku mbili.

  Kitu kingine nilichokigundua ni kwamba kipande kidogo cha video ya cheche kimekopiwa kutoka kwa wimbo wa Usher na Beyonce wakimshirikisha Lil Wayne unaoitwa Love in this club remix.Pale ambapo Diamond Platinumz anavuta lifegi lake kasha anatoa koti,Zuchu nae anatoa nguo ya juu na kuitupa kule kisha wanakutakana wanaanza kucheza kwa Pamoja.Yaani Diamond platinum amecopy hadi kucheza,mavazi aliyovalia,na ile band ya mkononi aliyoivalia Usher Diamond.

  Pia kipande cha Audio ya wimbo wa cheche yaani wimbo umecopyiwa kutoka kwa wimbo RIDE wa Tanasha Donna akimshirikisha Khaligraph Jones.Ukiskiza vizuri nyimbo nyimbo hizo mbili (Cheche na Ride) zikianza utagundua zinaenda sawa kwa uimbaji na maana isipokuwa sasa cheche ukabadilishwa lugha kidogo. Pata kuutazama hapa.
  Tuachie Comment yako.

  Latest Posts

  Don't Miss

  Stay in touch

  To be updated with all the latest news, offers and special announcements.

  %d bloggers like this: