16.1 C
Nairobi
Sunday, September 26, 2021
Kenya
248,392
Total confirmed cases
Updated on September 26, 2021 9:40 am

SARAH OBAMA, BIBI YA RAIS WA ZAMANI BARACK OBAMA AFARIKI DUNIA

Sarah Obama, bibi ya Rais wa zamani wa Marekani Barack Obama, amefariki dunia katika Hospitali ya Jaramogi Oginga Odinga mjini Kisumu akiwa na miaka...
More

  Latest Posts

  FILAMU KUTENGENEZWA KWENYE ANGA YA JUU -RUSSIA

  Mwigizaji Yulia Peresild, 36 na mwongozaji Klim Shipenko, 37 wamechaguliwa kushiriki kutengeneza filamu katika anga za juu.

  Shirika la safari za anga za juu la Russia limetangaza mpango wa kutengenezwa kwa filamu hiyo na linapania kumpeleka mwigizaji Yulia Peresild na mwongozaji filamu Klim Shipenko kwenye Kituo cha Anga za Juu cha Kimataifa kwa ajili ya mchakato huo.

  Safari yao inapangwa kuanza tarehe 5 mwezi wa Oktoba mwaka huu kwa kutumia chombo cha Soyuz MS-19.
  Wawili hao watapata mafunzo mbalimbali maalumu kabla ya Juni Mosi mwaka huu 2021.

  Latest Posts

  Don't Miss

  Stay in touch

  To be updated with all the latest news, offers and special announcements.

  %d bloggers like this: