18.4 C
Nairobi
Saturday, May 8, 2021
Kenya
162,666
Total confirmed cases
Updated on May 8, 2021 11:18 am

GAVANA WA ZAMANI WA NAIROBI MIKE SONKO AACHILIWA KWA DHAMANA

Hatimaye aliyekuwa gavana wa Nairobi Mike Sonko ameachiliwa kwa dhamana baada ya kuzuiliwa rumande kwa muda wa takribani mwezi mmoja. Kwa mujibu wa TUKONEWS, Sonko...
More

  Latest Posts

  FUNDI VIATU MLEMAVU AUAWA NA POLISI NCHINI KENYA KISA KUTOVAA MASK

  Kumeshuhudiwa makabiliano makali kati ya polisi na wenyeji wa eneo la Lesos katika kaunti ya Nandi hivi leo nchini Kenya .Wenyeji hao wakiingia barabarani kuandamana kulalamikia tukio ambalo polisi mmoja anadaiwa kumuua kwa kumpiga risasi fundi wa viatu mlemavu ambaye hakuwa amevaa mask au barakoa .

  Wenyeji wenye hamaki wanadai polisi mhusika alimshambulia kwa kipigo fundi huyo wa viatu mlemavu na anayehudumu katika kituo cha biashara cha Lesos ,huku akimpiga risasi kwa njia isiyoeleweka.Kutokana na hamaki ,waandamanaji hao wamechoma nyumba ya polisi mmoja hali ambayo imewafanya polisi kuingilia kati kuwakabili ili kudhibiti hali hiyo. Wenyeji wa lesos pia wamefunga barabara ya Kapsabet-Eldoret huku wakiwazui polisi kuuchukua mwili wa fundi huyo.

  Latest Posts

  Don't Miss

  Stay in touch

  To be updated with all the latest news, offers and special announcements.

  %d bloggers like this: