16.1 C
Nairobi
Sunday, September 26, 2021
Kenya
248,392
Total confirmed cases
Updated on September 26, 2021 9:40 am

SARAH OBAMA, BIBI YA RAIS WA ZAMANI BARACK OBAMA AFARIKI DUNIA

Sarah Obama, bibi ya Rais wa zamani wa Marekani Barack Obama, amefariki dunia katika Hospitali ya Jaramogi Oginga Odinga mjini Kisumu akiwa na miaka...
More

  Latest Posts

  JIRANI AUAWA KWA JEMBE


   

  Simanzi imetanda katika kijiji cha Teresia eneo bunge la Malaba nchini Kenya.Baada ya mwanaume wa miaka 42 kuaga dunia baada ya kupigwa kichwani na jirani yake kutokana na mzozo wa  mpaka wa shamba hapo jana.

  Mshukiwa Machoni   Isukunwa ambaye amelazwa  katika hospitali ya Malaba baada ya kupigwa na umma  .alimvamia jiraniye Shaka Liru na kumkata kichwa na shingo kwa jembe baada ya kutofautiana kwenye mpaka wa shamba lao,hivyo kupelekea kifo chake wakati akipelekwa hospitalini Malaba.

  OCP wa Malaba peter Mwanzo amesema kuwa mshukiwa anatarajia kufunguliwa mashtaka baada ya kutoka hospitalini ,huku mwili wa  mwendazake ukihifadhiwa katika chumba cha wafu katika hospitali ya Webuye.

  Latest Posts

  Don't Miss

  Stay in touch

  To be updated with all the latest news, offers and special announcements.

  %d bloggers like this: