16.1 C
Nairobi
Sunday, September 26, 2021
Kenya
248,392
Total confirmed cases
Updated on September 26, 2021 9:40 am

SARAH OBAMA, BIBI YA RAIS WA ZAMANI BARACK OBAMA AFARIKI DUNIA

Sarah Obama, bibi ya Rais wa zamani wa Marekani Barack Obama, amefariki dunia katika Hospitali ya Jaramogi Oginga Odinga mjini Kisumu akiwa na miaka...
More

  Latest Posts

  KESI YA MADAKTARI ZAIDI YA 30 YATUPILIWA MBALI NA MAHAKAMA YA NYERI KENYA

  Mahakama ya Nyeri nchini Kenya imetupilia mbali kesi iliyowasilishwa na zaidi ya madaktari 30 waliofutwa kazi na serikali ya Laikipia baada ya kushiriki mgomo.Madaktari hao waliwasilisha kesi hiyo wakitaka kurejeshwa kazini.

  Katika uamuzi wake Hakimu Musyoka Makau, ameeleza kuwa madaktari hao hawakufuata hatua zote zinazohitajika na badala yake wakaenda mahakamani kabla ya kutafuta suluhu kwa wizara ya Labour Pamoja na tume ya huduma za umma.

  Hata hivyo, madaktari hao wamepewa nafasi ya kutafuta suluhu kutoka kwa taasisi hizo.Madaktari sitini waliokuwa wakifanya kazi kwenye kaunti hiyo walifutwa kazi Juni mwaka 2019, kwa kushiriki mgomo usiokuwa halali huku 30 miongoni mwao wakirudishwa kazini kwa masharti mapya.

  Latest Posts

  Don't Miss

  Stay in touch

  To be updated with all the latest news, offers and special announcements.

  %d bloggers like this: