16.1 C
Nairobi
Sunday, September 26, 2021
Kenya
248,392
Total confirmed cases
Updated on September 26, 2021 8:39 am

SARAH OBAMA, BIBI YA RAIS WA ZAMANI BARACK OBAMA AFARIKI DUNIA

Sarah Obama, bibi ya Rais wa zamani wa Marekani Barack Obama, amefariki dunia katika Hospitali ya Jaramogi Oginga Odinga mjini Kisumu akiwa na miaka...
More

  Latest Posts

  KIZUNGUZUNGU CHA MSANII ADOTCHI

  Adotchi ni msanii kutokea katika kaunti ya Busia nchini Kenya anayetambulika kwa kuimba nyimbo za kizazi kipya. Pia anatambulika kuwa mtunzi mahiri wa nyimbo ambazo huziimba kutokana na maisha halisi ya watu wanaomzunguka.

  Msanii huyo jina lake kamili anaitwa Joseph Obuyu Adochi. Alianza uimbaji rasmi mwaka 2007, ameachia nyimbo kali kadhaa lakini ule wimbo ambao unatesa zaidi kwa sasa ni KIZUNGUZUNGU.

  Wimbo KIZUNGUZUNGU umevuma sana nchini na nje ya nchi kwa vile mashairi yalivyopangiliwa na kuimbwa na msanii huyo.
  Pia kwa kuwa unaongea kuhusu wawili walio kwenye uhusiano wa kimapenzi na mmoja wao haeleweki. Wakati mwingine anaonyesha upendo kwa mwenzake na wakati mwingine amembadilikia kabisa mwenzake.Kitu ambacho kinamuumiza mwenzake.Hata hivyo, hivi ni vitu ambavyo hufanyika kwenye maisha halisi ya watu wanaotuzunguka.
  Nyimbo za Adotchi zinapatikana kwenye mtandao yote ya kupakia nyimbo.

  Hivyo basi tazama KIZUNGUZUNGU wimbo Mpya wa Adotchi hapa chini

  ‘’Nahofia kizunguzungu …….naogopa machungu kusimulia…..’’, Hii ni baadhi ya mistari ya mashairi yake.
  Hata hivyo, Azimio lake ni siku moja aweze kupata kufanya wimbo na wasanii kama vile Otile Brown, Willy Paul na wengine wengi ambao aliwataja wakati akihojiwa katika kituo kimoja cha Televisheni cha humu Nchini.

  Latest Posts

  Don't Miss

  Stay in touch

  To be updated with all the latest news, offers and special announcements.

  %d bloggers like this: