18.4 C
Nairobi
Saturday, May 8, 2021
Kenya
162,666
Total confirmed cases
Updated on May 8, 2021 10:17 am

GAVANA WA ZAMANI WA NAIROBI MIKE SONKO AACHILIWA KWA DHAMANA

Hatimaye aliyekuwa gavana wa Nairobi Mike Sonko ameachiliwa kwa dhamana baada ya kuzuiliwa rumande kwa muda wa takribani mwezi mmoja. Kwa mujibu wa TUKONEWS, Sonko...
More

  Latest Posts

  MAAMBUKIZI YA VIRUSI VYA CORONA YAENDELEA KUONGEZEKA ZAIDI NCHINI KENYA

  Jumla ya watu 3860 nchi Kenya wameambukizwa virusi vya corona kufikia hapo Jana June 16.Kenya ikiwa nchi iliyo na maambukizi mengi zaidi katika nchi za Afrika Mashariki. Kadhalika hapo jana watu 40 waliruhusiwa kuondoka hospitali hivyo kufikia jumla ya watu 1,326 waliopona kutokana na virusi hivyo.

  Asilimia 42 ya walioaga dunia nchini Kenya ni wale waliokuwa na matatizo mengine ya afya kama vile kisukari,saratani na magonjwa mengine na hivyo kufikia jumla ya watu 105 waliofariki kutokana na ugonjwa huo wa covid 19.

  Kumekuwa na upungufu wa wagonjwa hospitalini ikilinganishwa na kabla ya virusi vya corona kutangazwa kuwa Kenya hivyo serikali inawarai wananchi walio na magonjwa tofauti kutafuta huduma za matibabu hospitalini.

  Latest Posts

  Don't Miss

  Stay in touch

  To be updated with all the latest news, offers and special announcements.

  %d bloggers like this: