22.8 C
Nairobi
Friday, October 15, 2021
Kenya
251,669
Total confirmed cases
Updated on October 14, 2021 9:34 pm

SARAH OBAMA, BIBI YA RAIS WA ZAMANI BARACK OBAMA AFARIKI DUNIA

Sarah Obama, bibi ya Rais wa zamani wa Marekani Barack Obama, amefariki dunia katika Hospitali ya Jaramogi Oginga Odinga mjini Kisumu akiwa na miaka...
More

  Latest Posts

  MAPYA YAIBUKA KUHUSU KIFO CHA DJ MIKEY KAY

  Habari za kifo cha Dj Mikey Kay zilisambaa katika mitandao ya kijamii siku ya Jumamosi Mei Mosi,2021.Hii ni baada ya VDJ Jones ambaye pia ni rafikiye wa karibu kuchapisha ujumbe kwenye mtandao wake wa Instagram,ujumbe wa kumuomboleza Dj Mikey Kay.

  ‘’I really dont know what happened but today is the saddest day. Rest in Peace brother. I trained u kuwa DJ, I branded u DJ Mike Kay..The Heat Master! Music is my game
  God knows best. RIP @dj_mike_kay
  #genjenimbaya’’ VDJ Jones aliandika.

  Kwenye ujumbe huo VDJ Jones hakuweka wazi kuhusu kilichosababisha kifo chake ila kwa mujibu wa taarifa zilizochapishwa tuko.co.ke zilisema kwamba,alifariki akipokea matibabu hospitali.

  Hata hivyo leo Mei 4,2021 yameibuka mapya kuhusu kifo cha Dj huyo.Inasemekana kuwa mwili wake ulipatikana umetupwa Murang’a kwenye mto ambao mwili wa mmoja wa wale marafiki wanne wa Kitengela ulipatikana wiki iliyopita.
  Mnamo Aprili 27,2021, wanaume wawili Dj huyo akiwa mmoja wao walitekwa nyara katika mtaa wa Umoja jijini Nairobi na baadae miili ya wawili hao kupatikana Jumamosi Mei Mosi.

  Kwa utafsiri wa ujumbe wa VDJ Jones kwenye Hashtegi amesema “#genjenimbaya” Genje kwa lugha ya kiswahili inamaanisha,sumbua, shida,taabu,matata au vurugu n.k. Hapa VDJ Jones alimaanisha nini??

  Kwa taarifa zaidi kuna jumbe kwenye mtandao wa Facebook ambazo zinaashiria kwamba kando na kuwa alikuwa Dj pia Mikey Kay alikuwa anajihusisha na Uhalifu za jinai (criminal activities).Na huenda aliuawa na majambazi wenzake.

  Tazama hapa chini jumbe hizo zinazomhusisha na shughuli za jinai.

  Latest Posts

  Don't Miss

  Stay in touch

  To be updated with all the latest news, offers and special announcements.

  %d bloggers like this: