16.1 C
Nairobi
Sunday, September 26, 2021
Kenya
248,392
Total confirmed cases
Updated on September 26, 2021 7:39 am

SARAH OBAMA, BIBI YA RAIS WA ZAMANI BARACK OBAMA AFARIKI DUNIA

Sarah Obama, bibi ya Rais wa zamani wa Marekani Barack Obama, amefariki dunia katika Hospitali ya Jaramogi Oginga Odinga mjini Kisumu akiwa na miaka...
More

  Latest Posts

  MAZUU PRODUCER AACHIA WIMBO USIMPIGE DADA

  Mazuu producer ambaye pia ni CEO wa Mazuu Records ilioko Dar es salaam-Tanzania ameachia bonge la wimbo kwa jina USIMPIGE DADA na kwenye official cover yake ya kuachia wimbo ameiweka picha ya mwanamziki wa Kike Shilole ambaye pia ni kutoka Tanzania.

  Sasa hapo kwenye picha inaonyesha uso wa Shilole ukiwa na makovu kama vile amepigwa.Kufuatilia sana nikagundua kuwa ni kweli juzi tu mwanadada huyo alikuwa amepost kwenye mtandao wake wa kijamii na kuweka wazi kuwa alikuwa amepigwa na mume wake maarufu kama Uchebe.Na kuongeza kwamba amekuwa akinyanyasika sana kwenye ndoa yake kwa kupigwa sana na Uchebe.Kitu ambacho kimekuwa gumzo katika nchi za Afrika Mashariki.Huku watu wengi maarufu wakifungua roho na kuweka wazi kuwa pia wao wamewahi kupitia hayo na hata kumpongeza Shilole kwa kuamua kuweka wazi aliyokuwa akiyapitia kwenye ndoa yake.Mfano wa aliyeweka wazi kuhusu kudhulumika au kunyanyasika ni aliyekuwa mpenzi wa msanii Diamond Platinumz,Wema Sepetu.Na kuongeza kwamba Diamond alikuwa anampiga.Mwingine ni Zari Hassan,pia naye kabla ya kuanza mahusiano ya kimapenzi na Diamond Platinumz alikuwa anapigwa sana na aliyekuwa mme wake wa kitambo.

  Sio hao tu wameweka wazi waliyoyapitia kwenye mahusiano yao bali ni wengi tu.Kwa sasa huu ndio mjadala mkubwa Afrika Mashariki na imefikia mahali ambapo viongozi mbalimbali wa serikali Tanzania kuingia kwenye mjadala huo.

  Hivyo Mazuu Producer ameamua kutoa wimbo wa kukashfu tabia ya wanaume kuwapiga kina dada kwenye mahusiano.

  USIKILIZE HAPO JUU.

  Latest Posts

  Don't Miss

  Stay in touch

  To be updated with all the latest news, offers and special announcements.

  %d bloggers like this: