21 C
Nairobi
Sunday, March 7, 2021

AFISA WA POLISI ASHINDWA KUVUMILIA KIU CHA MVINYO

Afisa mmoja wa polisi alizua vurugu katika baa moja eneo la kibiashara la Kanyenyaini katika kaunti ya Murang'a nchini Kenya,baada ya kutishia kuwapiga risasi...
More

  Latest Posts

  7 WAFARIKI KATIKA AJALI YA BARABARANI NJORO-KENYA

  Watu 7 wapoteza maisha, 11 wajeruhiwa vibaya kwenye ajali ya barabarani Njoro nchini Kenya Ijumaa machi 5,2021 usiku. Watu sita walifariki dunia papo hapo,huku mmoja...

  MWALIMU ALIYEMKATA PANGA MWALIMU MWENZAKE MZOZO WA PENZI LA MWALIMU MWANAFUNZI WA FIELD AFIKISHWA MAHAKAMANI

  Mwalimu wa Shule ya Upili ya Wasichana ya Karoti katika Kaunti ya Mwea Mashariki nchini Kenya, Timothy Musembi (34) ambaye alimshambulia na kumjeruhi mwenzake...

  GAVANA WA ZAMANI WA NAIROBI MIKE SONKO AACHILIWA KWA DHAMANA

  Hatimaye aliyekuwa gavana wa Nairobi Mike Sonko ameachiliwa kwa dhamana baada ya kuzuiliwa rumande kwa muda wa takribani mwezi mmoja. Kwa mujibu wa TUKONEWS, Sonko...

  AKAMATWA KWA MADAI YA KUMUUA MUMEWE KATIKA KAUNTI YA TRANS NZOIA

  Mwanamke mmoja amekamatwa na polisi kwa madai ya kumuua mume wake kwa kumdunga kwa kisu katika kijiji cha Twiga,Kaunti ya Trans Nzoia usiku wa...

  Mbunge Simba Arati na Baadhi ya Wanachama Wa Bodi washtumiwa Kuiba pesa za Covid 19 Katika hospitali ya Nairobi.

  Baada ya habari za matumizi mabaya ya fedha zilizonuiwa kununua vifaa vya kujikinga kutokana na covid 19, KEMSA kusambaa,habari nyingine za kusikitisha zimejitokeza kuihusu hospitali ya kibinafsi ya Nairobi.

  Nairobi Hospital ni hospitali ya dhamani ya Bilioni 10 kila mwaka na inasimamiwa na watu maarufu sana nchini Kenya mfano ni Hayati aliyekuwa Rais wa Kenya Mzee Moi, Marehemu Tecla Muigai wa familia ya Keroche na wengine tajika.

  Inasemekana kuwa,Wizi wa fedha hizo za Covid 19 unaongozwa na Mtu tajika na mwanachama wa Bodi na Mbunge katika katika Bunge la Kitaifa la Kenya. Tetesi hizo zinatilia mashaka kuhusu uhusiano kati ya Mwanachama huyo tajika wa Bodi na Mbunge wa Dagoretti North Simba Arati.Kwani mwanachama huyo ana usemi mkubwa katika kupeana kandarasi na uchaguzi wa kampuni zitakazo pewa kandarasi yoyote katika hospitali hiyo ya Nairobi.

  Mwanachama huyo wa Bodi ambaye alikuwa Mbunge aliingia uanachama kwa njia za kutatanisha mwaka 2019 mwezi wa kumi na moja na aliwahi kujipata kwenye kesi ya uuzaji wa ardhi ghushi.Hivyo inasemekana kuwa ndiye mhusika mkuu akiungwa mkono na Wanachama wengine walio na ushawishi mkubwa kwenye Bodi ya Hospitali ya Nairobi.

  Baadhi ya Wanachama wana ushawishi mkubwa kwenye Bodi hiyo,hivyo wana usemi katika kupeana kandarasi za hospitali hiyo na kuzawadi watu wao wa karibu kandarasi za pesa nyingi .Mfano ni ununuzi wa vifaa vinavyotumiwa na madaktari wanao wahudumia waathiriwa wa ugonjwa wa Covid 19.Pia ujenzi wa hospitali ya wagonjwa wa Covid 19 iliyogharimu shilingi Milioni 600. Ambapo QPKA, kampuni ya Mbunge Simba Arati aliye rafiki mkubwa wa mwanachama huyo tajika ililipwa shilingi Milioni 50 kwa kandarasi hiyo.Uchunguzi wa kina unaonyesha kuwa kampuni QPKA ilisajiliwa Aprili mwaka huu hivyo ilipewa kandarasi hiyo ikiwa na chini ya wiki mbili tangu kusajiliwa kama kampuni.

  Ununuzi wa awamu ya kwanza wa Vifaa hivyo kwa lugha ya kingereza ‘PPE’ moja ni shilingi 8,200 ambapo PPE 2000 zilinunuliwa.Kwa hesabu ya haraka,pesa zilizotumika ni nyingi.

  Wanachama hao ambao hawahusiki tu kwa kuwazawadi wenzao kandarasi tu bali pia kuajiri na kuwafurusha kazi wafanyakazi wasiofuata masharti yao kupitia kwa kampuni ya Grand Thornton iliyoletwa kwenye hospitali ya Nairobi kwa ajili ya kuwaajiri wanaowataka afisini.Kitu ambacho kilileta mvurugano kati yao na Mwendeshaji wa usajili wa wafanyakazi hadi kupelekea kuacha kazi. Hivyo wafanyakazi wengi wa kawaida na katika nafasi kubwa Nairobi hospital wamepoteza ajira kipindi hiki cha Corona.

  Licha ya changamoto nyingi zilizo au zinazoletwa na Covid19,Nairobi Hospital inaendelea kuangaziwa na inabaki kuwa hospitali pendwa na Mashirika ya humu nchi na duniani mfano shirika la WHO na Muungano wa mataifa katika matibabu.

  Latest Posts

  7 WAFARIKI KATIKA AJALI YA BARABARANI NJORO-KENYA

  Watu 7 wapoteza maisha, 11 wajeruhiwa vibaya kwenye ajali ya barabarani Njoro nchini Kenya Ijumaa machi 5,2021 usiku. Watu sita walifariki dunia papo hapo,huku mmoja...

  MWALIMU ALIYEMKATA PANGA MWALIMU MWENZAKE MZOZO WA PENZI LA MWALIMU MWANAFUNZI WA FIELD AFIKISHWA MAHAKAMANI

  Mwalimu wa Shule ya Upili ya Wasichana ya Karoti katika Kaunti ya Mwea Mashariki nchini Kenya, Timothy Musembi (34) ambaye alimshambulia na kumjeruhi mwenzake...

  GAVANA WA ZAMANI WA NAIROBI MIKE SONKO AACHILIWA KWA DHAMANA

  Hatimaye aliyekuwa gavana wa Nairobi Mike Sonko ameachiliwa kwa dhamana baada ya kuzuiliwa rumande kwa muda wa takribani mwezi mmoja. Kwa mujibu wa TUKONEWS, Sonko...

  AKAMATWA KWA MADAI YA KUMUUA MUMEWE KATIKA KAUNTI YA TRANS NZOIA

  Mwanamke mmoja amekamatwa na polisi kwa madai ya kumuua mume wake kwa kumdunga kwa kisu katika kijiji cha Twiga,Kaunti ya Trans Nzoia usiku wa...

  Don't Miss

  BI. HARUSI AFARIKI GHAFLA BAADA YA KUTOKA FUNGATE

  Mastin Mukanga alifunga pingu za maisha na Linet Kavere mnamo Disemba 11,2020, katika harusi iliyofanyika katika bustani la Sosa nchini Kenya. Wawili hao walikutana katika...

  BASI LATUMBUKIA BAHARINI LIKONI

  Basi la watalii lilitumbukia Bahari Hindi nchini Kenya baada ya dereva kupoteza mwelekeo alipokuwa akiingia kwenye feri kuvuka upande wa pili kwenye kivuko cha...

  NDEGE ILIYOPAA NA ABIRIA 62 YAPOTEZA MAWASILIANO INDONESIA

  Sriwijaya Air, Ndege ya Abiria ya Indonesia ambayo iliripotiwa kupoteza mawasiliano muda mfupi baada ya kupaa kutoka Uwanja wa Ndege wa Jakarta leo Januari...

  MCHUNGAJI ALIYEKIRI KUWANAJISI BINTIZE NA KUWAPACHIKA MIMBA KUHUKUMIWA WIKI IJAYO.

  Mchungaji wa kanisa la Akorino katika kijiji cha Kianyakiru eneo bunge la Ndia, Kaunti ya Kirinyaga ambaye alikiri kuwanajisi na kuwapachika mimba binti zake...

  JOE BIDEN AIDHINISHWA KUSHINDA UCHAGUZI

  Bunge la Congres limemuidhinisha Joe Biden na Kamala Harris kama rais mteule na makamu wake wa Marekani. Bunge hilo limewaidhinisha wawili hao kwa kura...

  Stay in touch

  To be updated with all the latest news, offers and special announcements.