19.4 C
Nairobi
Saturday, October 16, 2021
Kenya
251,669
Total confirmed cases
Updated on October 14, 2021 9:34 pm

SARAH OBAMA, BIBI YA RAIS WA ZAMANI BARACK OBAMA AFARIKI DUNIA

Sarah Obama, bibi ya Rais wa zamani wa Marekani Barack Obama, amefariki dunia katika Hospitali ya Jaramogi Oginga Odinga mjini Kisumu akiwa na miaka...
More

  Latest Posts

  MFUNGWA AJIKATA UUME

  Mfungwa mmoja amejikata uume wake baada ya kuambiwa kuwa mkewe amegoma kumtembelea gerezani kama wafungwa wenzie walivyotembelewa nchini Hispania.

  Mfungwa huyo alikutwa na mfungwa mwenzake anavuja damu hivyo akatoa taarifa kwa askari na akawahishwa hospitali ambapo bado haijafahamika kama kipande kilichokatika kimeweza kuunganishwa.

  “Kinachofanya niitwe mwanaume ni hiki kama mke wangu ananidharau hakina maana kuendelea kuwa nacho bora kukikata,” Mfungwa huyo alisikika akisema.

  Visa vya aina hii vinaendelea kuripotiwa nchini humo huku siku chache zilizopita mfungwa mwingine aliripotiwa kujikata sikio na kisha kulitafuna kama nyama.

  Latest Posts

  Don't Miss

  Stay in touch

  To be updated with all the latest news, offers and special announcements.

  %d bloggers like this: