18.4 C
Nairobi
Saturday, May 8, 2021
Kenya
162,666
Total confirmed cases
Updated on May 8, 2021 10:17 am

GAVANA WA ZAMANI WA NAIROBI MIKE SONKO AACHILIWA KWA DHAMANA

Hatimaye aliyekuwa gavana wa Nairobi Mike Sonko ameachiliwa kwa dhamana baada ya kuzuiliwa rumande kwa muda wa takribani mwezi mmoja. Kwa mujibu wa TUKONEWS, Sonko...
More

  Latest Posts

  MIKE SONKO,GAVANA WA NAIROBI AKANA MASHTAKA YA MATUMIZI MABAYA YA OFISI

  Gavana wa Nairobi Mike Sonko ambaye ameshtakiwa kwa matumizi mabaya ya ofisi. Akiwakilishwa na wakili wake Cecil Miller na George Kithi, Sonko amekana mashtaka hayo anayodaiwa kutumia mamlaka yake kujinufaisha na shilingi Millioni 10 kutoka kwa kampuni moja.

  Mkurugenzi Mkuu wa Mashtaka ya Umma Noordin Haji alimfungulia mashtaka hayo wiki jana. Hakimu anayesikiliza kesi hiyo Douglas Ogoti alimwagiza Sonko kufika mbele ya Mahakama ya Ufisadi na kukabiliwa na mashtaka hayo mapya.
  Kwenye mashtaka hayo, Sonko anadaiwa kuwa mnamo mwezi Januari mwaka jana alitumia jina la ofisi yake kujipatia shilingi milioni kumi kutoka kwa Kampuni ya Web Tribe Limited kupitia kampuni ya ulinzi ya ROG Security Limited.

  Mashtaka mengine yaliyojumuishwa kwenye kesi ya leo, ni utakatishaji wa fedha yaani Money Laundering, vilevile kujipatia mali kupitia njia za kihalifu, mashtaka yote ambayo Sonko ameyakana .

  Latest Posts

  Don't Miss

  Stay in touch

  To be updated with all the latest news, offers and special announcements.

  %d bloggers like this: