14.6 C
Nairobi
Thursday, August 5, 2021
Kenya
206,691
Total confirmed cases
Updated on August 5, 2021 8:34 am

SARAH OBAMA, BIBI YA RAIS WA ZAMANI BARACK OBAMA AFARIKI DUNIA

Sarah Obama, bibi ya Rais wa zamani wa Marekani Barack Obama, amefariki dunia katika Hospitali ya Jaramogi Oginga Odinga mjini Kisumu akiwa na miaka...
More

  Latest Posts

  MKURUGENZI NA WENZAKE WASHTAKIWA KWA KUTUMIA KEMIKALI ZA KWA MAABARA ZILIZOISHA MUDA WA MATUMIZI,NAIROBI-KENYA

  Dr. Ashok Singh Matharu Mkurugenzi wa Lang’ata Hospital ilioko Nairobi- Kenya,ameshitakiwa kwa makosa ya kuweka hospitalini kemikali za kutumika kwa maabara ambazo muda wake wa kutumika uliisha kitambo.Dr. Matharu amefikishwa mahakamani leo akiwa pamoja na maafisa wengine watatu wa Langata hospital,Mufaddal Amar ,Hasam G ambaye ni meneja wa mipango,wahudumu wa maabara Cheriyot Charles na Beatrice Awino.
  Inadaiwa wanne hao walipatikana wakitumia kemikali ambazo muda wao wa kutumika uliisha zamani kinyume na sheria za maabara.Wamekabiliwa pia na mashtaka ya pili ya kutumia kemikali hizo. Makosa wanayodaiwa kutekeleza Julai 8 mwaka huu 2020 katika Lang’ata Hospital ilioko Nairobi.
  Wote wamekana mashtaka,Matharu na Amar wakiachiliwa kwa dhamana ya pesa taslimu sh 100,000 kila mmoja huku Cheriyot na Awino wakiachiliwa kwa dhamana ya shilingi 50,000 kila mmoja.Kesi hiyo itatajwa tarehe 5 mwezi ujao.

  Latest Posts

  Don't Miss

  Stay in touch

  To be updated with all the latest news, offers and special announcements.

  %d bloggers like this: