14.6 C
Nairobi
Thursday, August 5, 2021
Kenya
206,691
Total confirmed cases
Updated on August 5, 2021 6:33 am

SARAH OBAMA, BIBI YA RAIS WA ZAMANI BARACK OBAMA AFARIKI DUNIA

Sarah Obama, bibi ya Rais wa zamani wa Marekani Barack Obama, amefariki dunia katika Hospitali ya Jaramogi Oginga Odinga mjini Kisumu akiwa na miaka...
More

  Latest Posts

  MKUU MPYA WA MAJESHI NCHINI KENYA ATAAPISHWA LEO, JUMATATU

  Generali Robert Kibochi ataapishwa hapo kesho kuwa mkuu wa majeshi baada ya kuchukua hatamu kutoka kwa Generali Samson mwathethe aliyestaafu.Naibu wake Lutein Generali Levi Mugalu na kamanda wa jeshi la wana maji Jameson Mutai pia wataapishwa.
  Wengine ni manaibu kamanda meja Generali Albert Kendagor wa jeshi la nchi kavu,Bregadier Lawrence Gituma wa jeshi la wana maji na Brigadier John Omenda wa jeshi la wana hewa.Rais Uhuru Kenyatta ,waziri wa ulinzi Monica Juma na mkuu wa majeshi anayeondoka Samson mwathethe wanatazamiwa kushudia hafula hiyo.

  Latest Posts

  Don't Miss

  Stay in touch

  To be updated with all the latest news, offers and special announcements.

  %d bloggers like this: