14.6 C
Nairobi
Thursday, August 5, 2021
Kenya
206,691
Total confirmed cases
Updated on August 5, 2021 7:33 am

SARAH OBAMA, BIBI YA RAIS WA ZAMANI BARACK OBAMA AFARIKI DUNIA

Sarah Obama, bibi ya Rais wa zamani wa Marekani Barack Obama, amefariki dunia katika Hospitali ya Jaramogi Oginga Odinga mjini Kisumu akiwa na miaka...
More

  Latest Posts

  MSANII DIAMOND PLATINUMZ AKUTANISHWA NA MWANAE

  Nyota wa muziki kutokea nchini Tanzania,Diamond Platnumz hatimaye Ijumaa, Januari 22,2021 amekutanishwa na mwanae wa kiume Naseeb Junior aliyezaa na mwanamziki kutoka Kenya,Tanasha Donna.

  Video ya Tanasha Donna na mwanae iliyonaswa na wanahabari katika uwanja wa ndege ilionyesha kuwa wawili hao pamoja na wenzake wengine walibebwa kwa gari ya Diamond Platinumz ambaye baadaye Diamond alipost video nyingine ya chumbani ikimuonyesha amemkumbatia akifurahia wakati mzuri na mwanae huyo huku wakitazama video ya katuni.

  Kabla ya hapo,Tanasha hakuanika mitandaoni kuhusu ziara yake Tanzania ila safari yake nchini humo ilidhirisha moja ya lengo lake lilikuwa ni kumkutanisha mtoto na babake. Haijabainika iwapo Tanasha anaishi katika nyumba yake Diamond au hotelini lakini ni dhahiri kwamba kidosho huyo yuko nchini Tanzania. Ziara ya Tanasha inajiri takriban miezi mitatu baada ya Zari Hassan mzaliwa wa nchini Uganda,ambaye pia ana watoto wa Diamond kutembelea taifa hilo.

  Katika mazungumzo kati ya wanahabari na Tanasha Donna,Tanasha aliweka wazi kuwa jambo lingine ambalo anatazamia kulifanya nchini Tanzania kabla ya kurudi Kenya ni kufanya wimbo wake na Nancy,kumkutanisha Naseeb Junior na kakake ambaye pia ni mtoto Wa Diamond Platinumz na mwanamitindo Hamisa Mobetto na mengine mengi.

  Latest Posts

  Don't Miss

  Stay in touch

  To be updated with all the latest news, offers and special announcements.

  %d bloggers like this: