14.6 C
Nairobi
Thursday, August 5, 2021
Kenya
206,691
Total confirmed cases
Updated on August 5, 2021 6:33 am

SARAH OBAMA, BIBI YA RAIS WA ZAMANI BARACK OBAMA AFARIKI DUNIA

Sarah Obama, bibi ya Rais wa zamani wa Marekani Barack Obama, amefariki dunia katika Hospitali ya Jaramogi Oginga Odinga mjini Kisumu akiwa na miaka...
More

  Latest Posts

  MSANII REAL JOFU KUTOKA TANZANIA AACHIA BONGE LA MUSIC VIDEO ‘KWETU’

  Msanii Real Jofu ambaye aliwahi kutamba sana na wimbo wake ‘Kumbe ni Ndugu’ aliingia rasmi kwenye usanii mwaka 2002 ila 2013 ndo safari yake ilianza kuonekana baada ya kufanya na kuachia wimbo wake STELAH ambao ulimpa nafasi ya kufanya kazi na Msanii tajika Ney Wamitego.Baada ya hapo alitoa nyimbo kibao ambazo zilipendwa na kuchezwa kwenye media sana.

  Hivi sasa Real Jofu ameachia wimbo wake mpya kwa jina KWETU.
  Itazame hapa chini

  Naomba nawe usapoti kwa kushare wimbo huu.

  Latest Posts

  Don't Miss

  Stay in touch

  To be updated with all the latest news, offers and special announcements.

  %d bloggers like this: