14.6 C
Nairobi
Thursday, August 5, 2021
Kenya
206,691
Total confirmed cases
Updated on August 5, 2021 6:33 am

SARAH OBAMA, BIBI YA RAIS WA ZAMANI BARACK OBAMA AFARIKI DUNIA

Sarah Obama, bibi ya Rais wa zamani wa Marekani Barack Obama, amefariki dunia katika Hospitali ya Jaramogi Oginga Odinga mjini Kisumu akiwa na miaka...
More

  Latest Posts

  MUHUDUMU WA CHUMBA CHA KUHIFADHIA MAITI APATE KICHAPO CHA MBWA KWA KUPOTEZA SANDA

  Muhudumu mmoja wa chumba cha kuhifadhia maiti katika hospitali ya Migori level 4 ,amepewa kichapo cha mbwa mapema leo baada ya familia moja kudai kupotea kwa sanda au nguo za mwili wa marehemu.
  Afisa mkuu wa utawala wa mashinani eneo la Suna Mashariki Nashon Ndoro ,amesema kuwa familia hiyo inadai kuwa huenda muhudumu huyo alipeana nguo hizo kwa watu wengine ili kufanyiwa matambiko kauli iliyokanushwa na muhudumu huyo aliyesisitiza kuwa nguo hizo ziliteketezwa.Ilibidi maafisa wa polisi kuingilia kati kudhibiti hali.

  Latest Posts

  Don't Miss

  Stay in touch

  To be updated with all the latest news, offers and special announcements.

  %d bloggers like this: