14.6 C
Nairobi
Thursday, August 5, 2021
Kenya
206,691
Total confirmed cases
Updated on August 5, 2021 7:33 am

SARAH OBAMA, BIBI YA RAIS WA ZAMANI BARACK OBAMA AFARIKI DUNIA

Sarah Obama, bibi ya Rais wa zamani wa Marekani Barack Obama, amefariki dunia katika Hospitali ya Jaramogi Oginga Odinga mjini Kisumu akiwa na miaka...
More

  Latest Posts

  MWANAFUNZI AUAWA AKITUHUMIWA KUIBA SHILINGI ELFU 15 ZA TANZANIA

  Mwanafunzi wa darasa la saba katika shule ya Msingi Kalangalala iliyopo mjini Geita nchini Tanzania ameuawa kwa kupigwa mateke na ngumi akituhumiwa kuiba Shilingi 15,000 pesa za Tanzania kwenye duka lililopo jirani na nyumba yao. Pesa hizo ambazo ni sawasawa na shilingi 714 za Kenya.

  Kamanda wa polisi mkoa wa Geita Henry Mwaibambe, amesema kifo cha mwanafunzi huyo kimetokea Aprili 7,2021 wakati mtoto huyo akipatiwa matibabu katika hospitali ya mkoa wa Geita.

  “Mtoto huyu inadaiwa alikuwa anaiba dukani na mtuhumiwa alimkamata na kumuadhibu sehemu mbalimbali za mwili na kusababisha kifo chake”amesema Mwaibambe.

  Mwaibambe amesema mwenye duka anajulikana kama Hamad Juma na ambaye pia ndiye mtuhumiwa alimshambulia mwanafunzi huyo na kutoroka na jeshi la polisi linamsaka.

  Latest Posts

  Don't Miss

  Stay in touch

  To be updated with all the latest news, offers and special announcements.

  %d bloggers like this: