18.4 C
Nairobi
Saturday, May 8, 2021
Kenya
162,666
Total confirmed cases
Updated on May 8, 2021 11:18 am

GAVANA WA ZAMANI WA NAIROBI MIKE SONKO AACHILIWA KWA DHAMANA

Hatimaye aliyekuwa gavana wa Nairobi Mike Sonko ameachiliwa kwa dhamana baada ya kuzuiliwa rumande kwa muda wa takribani mwezi mmoja. Kwa mujibu wa TUKONEWS, Sonko...
More

  Latest Posts

  MWANAMFALME PHILIP ATOKA HOSPITALINI BAADA YA MWEZI

  Mwanamfalme Philip ajulikanaye pia kama Duke wa Edinburgh kwa sasa hali yake ya afya imeimarika na kuondoka hospitali kufuatia upasuaji wa moyo uliofanikiwa.

  Mwanamfalme Philip akitoka hospitali

  Mwanamfalme Philip mwenye umri wa miaka 99, alilazwa katika hospitali ya King Edward VII Februari 16 baada ya kuhisi vibaya na kulala hospitali humo kwa siku 28 ambapo ni muda mrefu zaidi kwake yeye kuwa hospitalini.
  “……..baada ya kupata matibabu ya ugonjwa wa kuambukiza na mchakato uliofanikiwa wa tatizo jingine la afya………………..Mwanamfalme angependa kuwashukuru wahudumu wote wa afya waliomtunza……..na kila mmoja ambaye amekuwa akituma risala zake za rambi rambi,” taarifa hiyo imesema.

  Pia katika taarifa hiyo iliyotolewa Jumanne Machi 16,2021, Makazi ya Kifalme yalisema, Mwanamfalme Philip ametolewa hospitali.

  Mwanamfalme Philip na Malkia Elizabeth mwenye umri wa miaka 94 ambao wameoana kwa miaka 73, wamekuwa wakisalia ndani England katika Kasri la Windsor wakiwa na kundi dogo la wafanyakazi. Baada ya janga la Corona kutangazwa duniani

  Kufuatia kuwa na janga la Corona duniani, walipata chanjo yao ya kwanza ya corona mnamo mwezi Januari

  Latest Posts

  Don't Miss

  Stay in touch

  To be updated with all the latest news, offers and special announcements.

  %d bloggers like this: