14.6 C
Nairobi
Thursday, August 5, 2021
Kenya
206,691
Total confirmed cases
Updated on August 5, 2021 6:33 am

SARAH OBAMA, BIBI YA RAIS WA ZAMANI BARACK OBAMA AFARIKI DUNIA

Sarah Obama, bibi ya Rais wa zamani wa Marekani Barack Obama, amefariki dunia katika Hospitali ya Jaramogi Oginga Odinga mjini Kisumu akiwa na miaka...
More

  Latest Posts

  MWANAUME WA MIAKA 30 AKAMATWA KWA KUMZIBA UKE MKEWE KWA GUNDI

  <iframe width=”100%” height=”166″ scrolling=”no” frameborder=”no” allow=”autoplay” src=”https://w.soundcloud.com/player/?url=https%3A//api.soundcloud.com/tracks/826689193&color=%23ff5500&auto_play=false&hide_related=false&show_comments=true&show_user=true&show_reposts=false&show_teaser=true”></iframe><div style=”font-size: 10px; color: #cccccc;line-break: anywhere;word-break: normal;overflow: hidden;white-space: nowrap;text-overflow: ellipsis; font-family: Interstate,Lucida Grande,Lucida Sans Unicode,Lucida Sans,Garuda,Verdana,Tahoma,sans-serif;font-weight: 100;”><a href=”https://soundcloud.com/peterson-kariuki” title=”Vuvu” target=”_blank” style=”color: #cccccc; text-decoration: none;”>Vuvu</a> · <a href=”https://soundcloud.com/peterson-kariuki/mwanaume-wa-miaka-30-akamatwa-kwa-kumziba-uke-mkewe-kwa-gundi” title=”MWANAUME WA MIAKA 30 AKAMATWA KWA KUMZIBA UKE MKEWE KWA GUNDI” target=”_blank” style=”color: #cccccc; text-decoration: none;”>MWANAUME WA MIAKA 30 AKAMATWA KWA KUMZIBA UKE MKEWE KWA GUNDI</a></div>

  Mwanaume mwenye umri wa miaka 30, katika kaunti ya Tharaka Nithi nchini Kenya amekamatwa na polisi kwa tuhuma za  kumdalilisha na kumdulumu mkewe kwa kumuekea pilipili na chumvi kwenye sehemu zake za siri kisha kumuekea gundi au glue akitumia kisu .

  Mwanaume huyo kwa jina James Kifo Muriuki, anashikilia na polisi na anatarajiwa kufikishwa mahakamani.Polisi wanasema kuwa Kifo alitiwa mbaroni akiwa mafichoni eneo la kaningo kaunti ya kitui akiwa kwa mganga.Mganga huyo pia alitiwa mbaroni hapo jana vilevile akitarajiwa kushtakiwa mahakamani baada ya uchunguzi kukamilika.

   

  Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa hapo jana tarehe 21 Mei mwaka huu, imeeleza kuwa mtuhumiwa alitekeleza unyama huo Mei 16 mwaka huu, ambapo Mke wake huyo aliokolewa na majirani waliompeleka hospitalini akiwa na hali mbaya.

   

  Kutiwa kwake mbaroni kumefanikishwa na oparesheni kali ya pamoja iliyofanywa na maofisa wa DCI kutoka kaunti ya kitui na wenzao wa eneo la Tharaka kusini kutoka kaunti  hiyo ya Tharaka nithi.

  Latest Posts

  Don't Miss

  Stay in touch

  To be updated with all the latest news, offers and special announcements.

  %d bloggers like this: