19.4 C
Nairobi
Friday, October 15, 2021
Kenya
251,669
Total confirmed cases
Updated on October 14, 2021 9:34 pm

SARAH OBAMA, BIBI YA RAIS WA ZAMANI BARACK OBAMA AFARIKI DUNIA

Sarah Obama, bibi ya Rais wa zamani wa Marekani Barack Obama, amefariki dunia katika Hospitali ya Jaramogi Oginga Odinga mjini Kisumu akiwa na miaka...
More

  Latest Posts

  MWIGIZAJI MAARUFU KENYA CHARLES BUKEKO ‘’Papa Shirandula’’ AMEAGA DUNIA

  Msanii maarufu ambaye pia ni mwigizaji wa vichekesho Charles Bukeko ambaye anafahamika sana kwa jina Papa Shirandula kutokana na kipindi cha runinga ya Kenya Citizen cha Papa Shirandula ameaga dunia.
  Charles Bukeko yaani Papa shirandula ambaye ni mtoto wa kwanza kwenye familia ya watoto wanne ameaga dunia leo asubuhi akipata matibabu katika hospitali ya Karen iliyoko Nairobi nchini Kenya amabapo ameugua kwa muda mfupi. Familia yake imethibitisha kuwa ameaga dunia akiwa na miaka 58.
  Bukeko aliwahi kushinda tuzo kadhaa ikiwemo tuzo ya Kalasha akiwa mwigizaji bora wa Runinga mwaka 2010.Amemuacha mke mmoja na watoto watatu ambao ni Tony,Charly na Wendy.

  Latest Posts

  Don't Miss

  Stay in touch

  To be updated with all the latest news, offers and special announcements.

  %d bloggers like this: