20.1 C
Nairobi
Saturday, June 12, 2021
Kenya
174,773
Total confirmed cases
Updated on June 12, 2021 1:09 pm

SARAH OBAMA, BIBI YA RAIS WA ZAMANI BARACK OBAMA AFARIKI DUNIA

Sarah Obama, bibi ya Rais wa zamani wa Marekani Barack Obama, amefariki dunia katika Hospitali ya Jaramogi Oginga Odinga mjini Kisumu akiwa na miaka...
More

  Latest Posts

  NAOMI CAMPBELL ATANGAZA KUPATA MTOTO WA KWANZA AKIWA 50

  Mwanamitindo na mcheza filamu kutoka Uingereza ,Naomi Campbell,ametangaza kupata mtoto wake wa kwanza Jumanne Mei 18 akiwa na umri wa miaka 50.

  Mcheza filamu huyo ambaye mwakani aliteuliwa kuwa balozi wa kimataifa wa utalii nchini Kenya (Magical Kenya), kupitia kwa ujumbe aliochapisha kwenye ukurasa wake wa Instagram ameonekana kuwa mwenye furaha kwa kupata kiumbe hicho.

  Campbbell alichapisha picha ya mtoto huyo aliyemshika kwa mkono na kuambatanisha ujumbe wa furaha kama unavyooneka hapa chini.

  Hata hivyo, mwanamitindo na mchezaji filamu huyo mzaliwa wa Jamaica hakutambulisha jina ila kinachojulikana ni kwamba ni mtoto wa jinsia ya kike kwa kuwa Campbell alitumia kiwakilishi ‘her’ kumtambulisha.

  Latest Posts

  Don't Miss

  Stay in touch

  To be updated with all the latest news, offers and special announcements.

  %d bloggers like this: