14.6 C
Nairobi
Thursday, August 5, 2021
Kenya
206,691
Total confirmed cases
Updated on August 5, 2021 6:33 am

SARAH OBAMA, BIBI YA RAIS WA ZAMANI BARACK OBAMA AFARIKI DUNIA

Sarah Obama, bibi ya Rais wa zamani wa Marekani Barack Obama, amefariki dunia katika Hospitali ya Jaramogi Oginga Odinga mjini Kisumu akiwa na miaka...
More

  Latest Posts

  NDEGE ILIYOPAA NA ABIRIA 62 YAPOTEZA MAWASILIANO INDONESIA

  Sriwijaya Air, Ndege ya Abiria ya Indonesia ambayo iliripotiwa kupoteza mawasiliano muda mfupi baada ya kupaa kutoka Uwanja wa Ndege wa Jakarta leo Januari 9,2021,imeanguka ikiwa na abiria 62, Wizara ya Usafirishaji ya Nchi Indonesia imethibitisha.

  Mashuhuda wamesema wameiona ndege hiyo ikilipuka karibu na Kisiwa cha Pulau Laki Nchini Indonesia.

  Taarifa hizi zinakuja saa kadhaa tangu ripoti ya Sriwijaya Air za Ndege ya Abiria ya Indonesia kupoteza mawasiliano muda mfupi baada ya kupaa kutoka Uwanja wa Ndege wa Jakarta.Ndege hiyo ya SJ182 Boeing 737-500 inatajwa kuwa na miaka 26 ya kazi.

  Ripoti ya CGTN inasema kuwa tayari Meli ya utafutaji na uokoaji imetumwa eneo hilo ambako inaaminika Ndege hiyo ilielekea baada ya kupoteza mawasiliano.

  Latest Posts

  Don't Miss

  Stay in touch

  To be updated with all the latest news, offers and special announcements.

  %d bloggers like this: