Mbunge wa Garissa mjini,Aden Duale ameondolowa kutoka wadhifa wa kiongozi wa wengi katika bunge la kitaifa hivi leo nchini Kenya baada ya kuhudumu katika wadhifa huo kwa miaka 7.
Nafasi yake sasa imechukuliwa na Mbunge wa Kipipiri Amos Kimunya.Na ni uamizi ambao umetolewa katika mkutano wa wabunge wa Jubilee katika ukumbi wa KICC hii leo.
Msikilize Kimunya akizungumza baada ya kukabidhiwa wadhifa huo. Hapa chini