19.4 C
Nairobi
Friday, October 15, 2021
Kenya
251,669
Total confirmed cases
Updated on October 14, 2021 9:34 pm

SARAH OBAMA, BIBI YA RAIS WA ZAMANI BARACK OBAMA AFARIKI DUNIA

Sarah Obama, bibi ya Rais wa zamani wa Marekani Barack Obama, amefariki dunia katika Hospitali ya Jaramogi Oginga Odinga mjini Kisumu akiwa na miaka...
More

  Latest Posts

  RAIS UHURU KENYATTA KUTOA MUONGOZO WA JINSI NCHI YA KENYA ITARUDI KATIKA HALI YAKE YA KAWAIDA BAADA YA JANGA LA CORONA.

  Kulingana na mkuu wa utumishi wa umma Joseph Kinyua, Rais Uhuru Kenyatta atafanya kongamano la kitaifa Jumatatu, Septemba 28 kisha anatarajiwa kutoa muongozo utakaowaelekeza wakenya jinsi ya kukabiliana na ugonjwa wa Corona huku nchi ikijitayarisha kurudi katika hali ya kawaida.

  Kinyua amedokeza kuwa Wakenya walio onyesha ushujaa katika kupigana vita dhidi ya janga la ugonjwa wa corona watatuzwa na Rais siku hiyo.

  Hayo yakijiri, wizara ya Afya Jumatatu, Septemba 21(leo) ilirekodi visa 98 vya maambukizi ya virusi vya corona huku watu wengine wawili wakipoteza maisha. Kufikia sasa nchi imerekodi visa 37,079 kwa jumla vya maambukizi ya virusi vya ugonjwa wa corona, watu 23,887 wamepona na vifo zaidi ya 600 kuripotiwa

  Latest Posts

  Don't Miss

  Stay in touch

  To be updated with all the latest news, offers and special announcements.

  %d bloggers like this: