17 C
Nairobi
Saturday, May 8, 2021
Kenya
162,666
Total confirmed cases
Updated on May 8, 2021 9:17 am

GAVANA WA ZAMANI WA NAIROBI MIKE SONKO AACHILIWA KWA DHAMANA

Hatimaye aliyekuwa gavana wa Nairobi Mike Sonko ameachiliwa kwa dhamana baada ya kuzuiliwa rumande kwa muda wa takribani mwezi mmoja. Kwa mujibu wa TUKONEWS, Sonko...
More

  Latest Posts

  RAIS WA TANZANIA,SAMIA SULUHU KUFANYA ZIARA YA SIKU MBILI NCHINI KENYA

  Rais wa Tanzania,Samia Suluhu Hassan kufanya ziara ya kikazi ya siku mbili nchini Kenya.

  Msemaji wa Ikulu, Kanze Dena amesema Rais Suluhu atapokelewa na mwenyeji wake Rais Uhuru Kenyatta katika Ikulu ya Nairobi siku ya Jumanne Mei 4,2021.

  Wakati wa Ziara ya Waziri wa Michezo wa Kenya,Amina Mohammed,Rais Uhuru Kenyatta alimtuma ujumbe wa mualiko kwa Rais Samia kwa kumkaribisha Kenya kwa lengo la kuimarisha ushirikiano baina ya Kenya na Tanzania.

  Rais suluhu alizuru nchi ya Uganda mwezi uliopita.Ziara iliyozaa matunda kwa Uganda na Tanzania kutia saini mikataba mitatu ya kuendeleza sekta ya mafuta na gesi. 

  Rais Samia Suluhu ni mwanamke wa kwanza kuwa Rais katika nchi za Afrika Mashariki na aliapishwa Februari mwaka huu 2021 kuwa Rais wa Tanzania kufuatia kifo cha Rais Hayati John Pombe Magufuli.

  Latest Posts

  Don't Miss

  Stay in touch

  To be updated with all the latest news, offers and special announcements.

  %d bloggers like this: