18.4 C
Nairobi
Saturday, May 8, 2021
Kenya
162,666
Total confirmed cases
Updated on May 8, 2021 9:17 am

GAVANA WA ZAMANI WA NAIROBI MIKE SONKO AACHILIWA KWA DHAMANA

Hatimaye aliyekuwa gavana wa Nairobi Mike Sonko ameachiliwa kwa dhamana baada ya kuzuiliwa rumande kwa muda wa takribani mwezi mmoja. Kwa mujibu wa TUKONEWS, Sonko...
More

  Latest Posts

  RUBANI AMEKUWA AKITUMIA CHETI GHUSHI CHA KCSE KAZINI KWA MIAKA 8.

  Rubani huyo anayejulikana kwa jina Ahmad Nassir Dirie Olow ashtakiwa kwa tuhuma za kughushi cheti chake kuonyesha alipata alama ya B+ katika mtihani wa kitaifa uliofanywa 2007. Olow aliwasilisha cheti hicho ghushi kwake Lt. Col. Amin Ali ambaye ni Mkuu wa taasisi ya mafunzo ya Ninety Nines Flying School nchini Kenya.

  Rubani huyo alikana mashtaka na kuachiliwa kwa dhamana ya KSh 50,000 pesa taslimu Rubani Mkenya ameshtakiwa kwa kosa la kughushi cheti cha Mtihani wa Kitaifa wa Kidato cha Nne (KCSE) ili asajiliwe katika taasisi ya mafunzo ya ndege.

  Olow aliwasilisha cheti hicho kwa Sajini Cyrus Ikade mnamo Januari 6, 2021 katika makao makuu ya maafisa wa kukabiliana na Ugaidi zilizoko eneo la Upper Hill, Nairobi. Mbele ya Hakimu Martha Mutuku katika mahakama ya Nairobi mnamo Jumanne, Januari 26, alikana mashtaka hayo na kuachiliwa kwa dhamana ya KSh 50,000 pesa taslimu. Kesi hiyo itasikilizwa mwezi Februari, 2021.

  Latest Posts

  Don't Miss

  Stay in touch

  To be updated with all the latest news, offers and special announcements.

  %d bloggers like this: