16.1 C
Nairobi
Sunday, September 26, 2021
Kenya
248,392
Total confirmed cases
Updated on September 26, 2021 9:40 am

SARAH OBAMA, BIBI YA RAIS WA ZAMANI BARACK OBAMA AFARIKI DUNIA

Sarah Obama, bibi ya Rais wa zamani wa Marekani Barack Obama, amefariki dunia katika Hospitali ya Jaramogi Oginga Odinga mjini Kisumu akiwa na miaka...
More

  Latest Posts

  THANK YOU LORD YA BLAQBOI CARLES NA EDUSWAGGA

  Nyota wa muziki nchini Kenya, Eduswagga anayetokea katika kaunti ya Migori ana ujio mpya.

  Huyu ni msanii ambaye alianza muziki rasmi mwaka 2011 akiwa anafanyia kazi zake za muziki katika studio za Jungle Masters zilizopo mombasa.

  Katika hali ya kujitangaza zaidi kimuziki Eduswagga aliamua kurudi nyumbani katika kaunti ya Migori na kuanza kufanya kazi ya muziki na studio za Skylife zilizopo Sirare mjini.Akiwa hapo akaasisi na kuunda kundi la wanamuziki kwa jina M7.

  Akiwa kwenye studio za Skylife aligundua kuna vipaji vingi vya muziki Sirare lakini kilichomvutia zaidi ni dogo kwa jina Blaqboi Carles ndipo akajitolea kufanya kazi nae. ‘Kila sehem’ ndio jina la wimbo wao wa kwanza.Kisha wote waliondoka Skylife na kila mmoja kufanya kazi kivyake.

  Hivi sasa Eduswagga na Blaqboi Carles wameamua kurudi studio tena kwa ajili ya kuwapa mashabiki wao burudani.Hivyo wameachia bonge la wimbo Kwa jina THANK YOU LORD.

  Hii hapa video ya wimbo huo wa Blaqboi na Eduswagga. THANK YOU LORD WIMBO WA BLAQBOI CARLES NA EDUSWAGGA

  Toa maoni kuhusu huu wimbo wao kwenye chaneli ya Youtube ya Blaqboi Carles.

  Latest Posts

  Don't Miss

  Stay in touch

  To be updated with all the latest news, offers and special announcements.

  %d bloggers like this: