16.1 C
Nairobi
Sunday, September 26, 2021
Kenya
248,392
Total confirmed cases
Updated on September 26, 2021 9:40 am

SARAH OBAMA, BIBI YA RAIS WA ZAMANI BARACK OBAMA AFARIKI DUNIA

Sarah Obama, bibi ya Rais wa zamani wa Marekani Barack Obama, amefariki dunia katika Hospitali ya Jaramogi Oginga Odinga mjini Kisumu akiwa na miaka...
More

  Latest Posts

  UCHUNGUZI WA DNA WAONYESHA MWANAMITANDAO KABI WAJESUS NDIYE BABA WA KUMZAA MTOTO WA BINAMU YAKE

  Miezi mitatu iliyopita kulikuwa na taarifa mitandaoni kwamba Mwanamitandao Kabi Wa Jesus ana mtoto anayeitwa Abby ambaye alizaa na binamu yake kwa jina Shiko. Madai ambayo Kabi alichapisha video kwenye mtandao wa Youtube na kuyakana , huku akisisitiza kwamba Shiko ni binamu yake na hawajawahi kuwa kwenye uhusiano wa kimapenzi na kwamba Abby si mtoto wake.

  Picha ya Kabi Wa Jesus na binamu yake

  Kupitia kwenye ukurasa wake wa Instagram Mei 6,2021, Kabi Wajesus amekiri kwamba ni baba yake Abby ambaye mama yake anafahamika kama Shiko.

  Hii ni baada ya uchunguzi wa DNA kufanyika na matokeo kuonyesha kwamba Kabi ni baba wa kumzaa mtoto huyo, ambapo alisema kwamba kitendo hicho kilitendeka kabla aokoke na kabla waoane na Milly ambaye ndo mke wake.Na hivyo yuko tayari kujukumikia mahitaji ya mwanaye Abby.

  Je, kisheria Kabi Wajesus kukiri kuzaa mtoto na binamuye ni makosa? 

  Sheria kuhusu makosa ya ngono haitambui binamu kuwa jamaa wa familia na kwa hivyo wanabaki huru kufurahia penzi.katika nambari 20 (1) kwenye kipengee cha makosa ya kuhusika mapenzi na watu wa familia. Hivyo Kisheria hakuna makosa yoyote kwa mtu kushiriki na binamuye mapenzi ilmradi awe mwenye umri wa miaka 18 na zaidi,mwenye akili timamu na awe amekubali kushiriki mapenzi.Lakini pia iwapo Mahakama itajiridhisha kuwa wawili hao walishiriki ngono na ni wanafamilia basi wawili hao (Kabi Wa Jesus na Shiko)wanaweza kufungwa miaka kumi gerezani.

  Latest Posts

  Don't Miss

  Stay in touch

  To be updated with all the latest news, offers and special announcements.

  %d bloggers like this: