Nimekuwa nikipata maswali mengi kutoka kwa wasanii kuhusu youtube.Na hivyo inanichukua muda mwingi kuwajibu au kujibu kila mmoja wao .so nimeamua angalau niongee kuhusu swala la youtube ila kuhusu ni kwa nini wasanii ambao wana channel zao za youtube wanaamua kuweka nyimbo zao kwa channel za wasanii wenzao. Unahisi ni vyema kuweka wimbo wako kwa channel ya youtube ya msanii mwingine? Nimelijibu hilo ebu sikiliza kupitia kwa soundcloud audio niliyokuwekea hapo juu.