18.4 C
Nairobi
Saturday, May 8, 2021
Kenya
162,666
Total confirmed cases
Updated on May 8, 2021 9:17 am

GAVANA WA ZAMANI WA NAIROBI MIKE SONKO AACHILIWA KWA DHAMANA

Hatimaye aliyekuwa gavana wa Nairobi Mike Sonko ameachiliwa kwa dhamana baada ya kuzuiliwa rumande kwa muda wa takribani mwezi mmoja. Kwa mujibu wa TUKONEWS, Sonko...
More

  Latest Posts

  UONGOZI WA LEBO YA WCB WASAFI UMETANGAZA RASMI UZINDUZI WA ALBUM MPYA YA MBOSSO

  Uongozi wa lebo ya WCB Wasafi nchini Tanzania, ukiongozwa na mkurugenzi wa lebo hiyo, Msanii Diamond Platnumz, umetangaza rasmi uzinduzi wa album mpya ya msanii Mbosso, ‘Defifintion Of Love.

  Akiwa mbele ya waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, Machi 15 2021, Diamond alitangaza kuwa album hiyo itazinduliwa rasmi Machi 20 2021 katika Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam nchini Tanzania.

  Uzinduzi huo rasmi wa album hiyo ambayo Mbosso aliiachia rasmi mnamo Machi 9, 2021 umewaalika viongozi, watu mbali mbali maarufu wa ndani na nje ya nchi hiyo.

  Pia Diamond Platinumz alieleza kuwa baada ya uzinduzi huo itafanyika ziara ya album hiyo katika mikoa mbalimbali nchini Tanzania.

  Latest Posts

  Don't Miss

  Stay in touch

  To be updated with all the latest news, offers and special announcements.

  %d bloggers like this: