16.1 C
Nairobi
Sunday, September 26, 2021
Kenya
248,392
Total confirmed cases
Updated on September 26, 2021 8:39 am

SARAH OBAMA, BIBI YA RAIS WA ZAMANI BARACK OBAMA AFARIKI DUNIA

Sarah Obama, bibi ya Rais wa zamani wa Marekani Barack Obama, amefariki dunia katika Hospitali ya Jaramogi Oginga Odinga mjini Kisumu akiwa na miaka...
More

  Latest Posts

  VIFO KUTOKANA NA MAFURIKO JIJINI NAIROBI VYAONGEZEKA KIBERA.

  Kufuatia mvua kubwa iliyonyesha jijini Nairobi na maeneo ya karibu siku ya Alhamisi Mei 13 imepelekea watu wanne kufariki dunia kutokana na mafuriko.Vifo hivyo vilitokea wakati wakivuka daraja la mto Mutuine katika mtaa wa Kibera ulioko Nairobi.

  Kwa mujibu wa wakazi wa eneo hilo wamesema miili miwili imepatikana katika eneo la Silanga huku shughuli za kusaka miili iliyobaki ikiendelea.

  Mkuu wa polisi wa Nairobi Augustine Nthumbi amesema kuwa mali ya thamani isiyojulikana iliharibiwa katika mafuriko hayo na utafiti unaendelea ili kubaini ukubwa wa suala hilo.

  Aidha Polisi na waokoaji wamesema wanahofia vifo zaidi vitaripotiwa kwa sababu ya mafuriko ambayo yaliathiri makazi tofauti jijini.

  Latest Posts

  Don't Miss

  Stay in touch

  To be updated with all the latest news, offers and special announcements.

  %d bloggers like this: