14.6 C
Nairobi
Thursday, August 5, 2021
Kenya
206,691
Total confirmed cases
Updated on August 5, 2021 7:33 am

SARAH OBAMA, BIBI YA RAIS WA ZAMANI BARACK OBAMA AFARIKI DUNIA

Sarah Obama, bibi ya Rais wa zamani wa Marekani Barack Obama, amefariki dunia katika Hospitali ya Jaramogi Oginga Odinga mjini Kisumu akiwa na miaka...
More

  Latest Posts

  VIRUSI AINA MPYA VYA CORONA VYARIPOTIWA MAREKANI

  Aina mpya ya virusi vya corona vinavyojulikana kama B.1.1.7 vilivyogunduliwa kwa mara ya kwanza nchini Uingereza, sasa vimeripotiwa kuingia Marekani katika mji wa Colorado.

  Aina hiyo mpya ya virusi vinavyoaminika kusambaa kwa kasi nchini Marekani na Marekani ya Kusini, viligundulika kwa kijana wa miaka 20 ambaye hana historia ya kusafiri.

  Taarifa za vyombo vya habari za ndani zinasema, wataalamu wanaamini kwamba aina hiyo mpya inaweza kuenea kwa kasi na itakuwa chanzo cha ongezeko la maambukizi Uingereza.

  Pia virusi hivyo ( B.1.1.7) tayari vimeripotiwa Canada, Italia,Afrika Kusini, India na Umoja wa Falme za Kiarabu. Chile nayo imeripoti aina hiyo mpya na kulifanya kuwa taifa la kwanza Marekani Kusini kubaini maambukizi yake.

  Latest Posts

  Don't Miss

  Stay in touch

  To be updated with all the latest news, offers and special announcements.

  %d bloggers like this: