18.4 C
Nairobi
Saturday, May 8, 2021
Kenya
162,666
Total confirmed cases
Updated on May 8, 2021 10:17 am

GAVANA WA ZAMANI WA NAIROBI MIKE SONKO AACHILIWA KWA DHAMANA

Hatimaye aliyekuwa gavana wa Nairobi Mike Sonko ameachiliwa kwa dhamana baada ya kuzuiliwa rumande kwa muda wa takribani mwezi mmoja. Kwa mujibu wa TUKONEWS, Sonko...
More

  Latest Posts

  VISA VYA UHALIFU KUONGEZEKA

  Huku ulimwengu ukiendelea kupigana na janga la corona,visa vya uhalifu vinaendelea kuongezeka nchini Kenya. Wakenya wengi wakilalamika kwamba wanaporwa mali yao.Aidha wataalamu wa usalama wanakiri kwamba jambo hili lilitarajiwa kwani ukosefu wa ajira au pesa huenda ukafanya watu wakakosa nidhamu na vivlevile kuweza kuwaibia wananchi   au wenzao ili kuweza kukimu mahitaji yao.

  Lakini jambo hili sio la kushangaza kama anavyotuarifu  mtaalamu wa maswala ya kiusalama George Msamali. Hata hivyo Msamali ana  la kuwambia wananchi  ili waweze kujilinda wakati huu.

  Latest Posts

  Don't Miss

  Stay in touch

  To be updated with all the latest news, offers and special announcements.

  %d bloggers like this: