18.4 C
Nairobi
Saturday, May 8, 2021
Kenya
162,666
Total confirmed cases
Updated on May 8, 2021 10:17 am

GAVANA WA ZAMANI WA NAIROBI MIKE SONKO AACHILIWA KWA DHAMANA

Hatimaye aliyekuwa gavana wa Nairobi Mike Sonko ameachiliwa kwa dhamana baada ya kuzuiliwa rumande kwa muda wa takribani mwezi mmoja. Kwa mujibu wa TUKONEWS, Sonko...
More

  Latest Posts

  VITUO VYA KUPIMA COVID 19-NAROK BARABARANI


  Kamati ya dharura ya kushughulikia  maswala ya  virusi vya Corona  kwenye kaunti  ya Narok,imetangaza kuwa itaanza kuwakagua watu wote wanaoingia na kutoka kwenye Kaunti hiyo kwa lengo la kudhibithi kuenea au ongezeko la visa vya corona.kamati hiyo imetangaza kwamba imeweka vituo vinne vya kuwakagua wananchi katika maeneo makuu ya kuingia na kutoka kaunti ya Narok. Na kwenye vituo hivyo kutakuwa na maafisa wa afya na wa usalama katika kufanikisha shughuli hiyo.

  Aidha,Vituo hivyo vitawekwa  maeneo ya Suswa TB CENTRE ,mulot,Loita na Nyangusu.Na hii ni kwa mjibu wa Gavana wa Narok Samwel Tunai ambaye pia ni mwenyekiti wa kamati  hiyo ya kushughulikia maswala ya Virusi vya Corona.

  Latest Posts

  Don't Miss

  Stay in touch

  To be updated with all the latest news, offers and special announcements.

  %d bloggers like this: