14.6 C
Nairobi
Thursday, August 5, 2021
Kenya
206,691
Total confirmed cases
Updated on August 5, 2021 7:33 am

SARAH OBAMA, BIBI YA RAIS WA ZAMANI BARACK OBAMA AFARIKI DUNIA

Sarah Obama, bibi ya Rais wa zamani wa Marekani Barack Obama, amefariki dunia katika Hospitali ya Jaramogi Oginga Odinga mjini Kisumu akiwa na miaka...
More

  Latest Posts

  WASHUKIWA 8 WA UJAMBAZI WAMEUAWA NA POLISI JIJINI NAIROBI

  Washukiwa wanane wa ujambazi wameuawa kwa kupigwa risasi Nairobi nchini Kenya baada ya jaribio lao la wizi kutibuka katika eneo la viwandani.Washukiwa wengine wanne wa ujambazi wamefaulu kutoroka wakati wa tukio hilo la usiku wa kuamkia leo.

  Polisi wamesema kuwa waliwafumania majambazi hao saa nne za usiku wakipakia mali waliyokuwa wameiba kwenye lorry.
  Duru za polisi zinaarifu kuwa majambazi hao wameuawa katika oparesheni iliyoongozwa na mkuu wa polisi jijini Nairobi .
  Miili yao ilipelekwa katika hifadhi ya maiti ya City jijini Nairobi.

  Latest Posts

  Don't Miss

  Stay in touch

  To be updated with all the latest news, offers and special announcements.

  %d bloggers like this: