16.1 C
Nairobi
Sunday, September 26, 2021
Kenya
248,392
Total confirmed cases
Updated on September 26, 2021 8:39 am

SARAH OBAMA, BIBI YA RAIS WA ZAMANI BARACK OBAMA AFARIKI DUNIA

Sarah Obama, bibi ya Rais wa zamani wa Marekani Barack Obama, amefariki dunia katika Hospitali ya Jaramogi Oginga Odinga mjini Kisumu akiwa na miaka...
More

  Latest Posts

  ZAIDI YA WATU 127 WAMEUAWA KWENYE MAKABILIANO KATI YA WANAJESHI NA RAIA NCHINI SUDANI KUSINI

  Umoja wa mataifa umesema watu wasiopungua 127 wameuawa na wengine kadhaa kujeruhiwa katika makabiliano kati ya wanajeshi na raia waliokataa kusalimisha silaha zao kama sehemu ya makubaliano ya amani nchini Sudani Kusini.Makabiliano hayo yalianza Jumamosi wiki iliyopita.
  Msemaji wa Umoja wa Mataifa Stéphane Dujarric amesema kuwa Vurugu hizo zilisababishwa na tofauti kuhusu kusalimisha silaha linafanyika katika eneo la Rumbek .Katika mazungumzo na shirika la habari la Ujerumani DPA ,Diwani wa mji huo James Makuei Mabior alisema makabiliano yalizuka baada ya wanajeshi waliokuwa kwenye doria kwenye eneo hilo walipojaribu kuwanyang’anya silaha raia katika mji wa Tonj Mashariki ,jimbo la Uarap kama sehemu ya makubaliano ya amani yaliyoafikiwa hivi Karibu.
  Mapigano hayo yalisambaa haraka katika vijiji vya karibu,ambapo raia waliojihami walivamia kambi ya jeshi katika mji wa Ramek mnamo jumatatu asubuhi.

  Latest Posts

  Don't Miss

  Stay in touch

  To be updated with all the latest news, offers and special announcements.

  %d bloggers like this: